Fungua
THE ORGANISATION FOR VULNERABLE GROUP ASSISTANT ( OVGA )

THE ORGANISATION FOR VULNERABLE GROUP ASSISTANT ( OVGA )

LINDI, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
OVGA/CHIDA kwa kushirikiana na Kampuni ya Kamhanda Auction Company tunatarajia kufanya utafiti wa Uelewa wa Wananchi kuhusu Uchumi wa Viwanda hasa Katika Upande wa Chai. Hata hivyo lengo ni kutathimini gharama za uwekezaji katika uzalishaji wa machani mabichi kama unaendana na bei ya soko. Pamojana na hayo Kampuni ya Kamhanda Auction Company Co. Ltd wanatarajia kushawishi serikali kushawishi na kuwa na mpango wa kuanzisha mnada wa pamoja. Utafiti huu u atarajiwa kuanza november 2016.
30 Oktoba, 2016
« Iliyotangulia

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.