Log in
Nyakitonto youth for development Tanzania(NYDT)

Nyakitonto youth for development Tanzania(NYDT)

Head office:Kigoma ujiji,Buzebazeba ward,burega street,at mawen & Near Dr.livingstone lodge,p.o.box 890,Kigoma, Tanzania:dyouthkgm@yahoo.com.Hote line +255765794896,+255782990599.

we are after the following officers as Interns,Volunteers or part time officers: Can be in office or Distance officer..

 

Apply and attach your CV.

 

        I.            Grant/Project Officer-Kilimo,Usafi na mazingira wa NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA.

 

     II.            Grant /project Officer-Elimu na Sera.wa NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA

 

   III.            Grant/Project Officer-Women and Girls Health services in Kigoma.

 

 

  IV.            Project Development Officer-Youth and Children of NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA.

 

    V.            Programe coordinator youth talents and enterprenueship.

 

  VI.            Web disgner ,Publisher and IT OFFicer.

 

 

MASHARITI.

 

        i.            Kila officer atawajibika kwa Mkurugenzi Mtendaji na Kamati Tendaji ya asasi

 

     ii.            Atahusika na kuandika,Tafiti za kijamii,project development(miradi) na kuoganaze Fundraising events-ili kupata Ruzuku/partiners katika idara yake kwa ajili ya maendeleo jamii.

 

   iii.            Atakuwa mjumbe katika kamati  ya mipango,Utunishaji mfuko na Kutandaa(Networking) kwa asasi yetu ya NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA.

   iv.            Katika Ruzuku/Fedha atakayoiingizia asasi inayoanzi us dolla $ 5000 atapatiwa motisha  ya Ruzuku hiyo kama motisha yake na Maendeleo yake,pia atalipwa posho kadiri atakavyokuwa ameiandika katika bajeti ya andiko,ili kujikimu maisha yake ya kila siku awapo Ofisini kwetu/ katika Kipindi ushirikiano.

 

      v.            Atakuwa na hadhi ya kuwa mwanachama wa asasi ,Ki-katiba-Mwanachama wa kujitolea.,na pia asasi itatumia influence yake kama Cv zake,kutetea miradi kulingana na mahitaji.

 

   vi.            Atasaini Mkataba wa kati yake na Asasi katika majukumu atakayo kubaliana na sisi.

 

AWE NA SIFA MOJAWAPO KATI YA HIZI ZIFUATAZO:-

 

        i.            Awe na uzoefu katika kazi-idara anayoomba kujitolea.

     ii.            Awe na elimu ya sekondari,Cheti, Diploma na au Shahada ya kwanza.

   iii.            Awe anasoma  masters,Na Tungependa Dissertation zao,Zilenge masuala ya asasi yetu,ili kupitia kwazo wanufaike nazo,jamii inufaike nazo na Ruzuku ipatikane kwa maendeleo ya Officer na asasi kwa ujumla.

   iv.            Wenye uwezo wa kuandika Miradi na Wadau wa AZAKI WANAPENDELEWA SANA.

 

v Ndugu, asasi yetu imeshapata Ruzuku kutoka  The foundation for civil society -Tsh.7500,000/= na Public Health Institute Us dollar $ 955. Kama uzoefu katika Ruzuku na shughuli za Kijamii.

v Hata hivyo Ruzuku hizo zimeishia katika Utekelezaji wa Miradi ya kijamii-Mpaka sasa asasi haina Fedha zozote kwa ajili ya Kuwalipa maofisa hao,Bali kile watakachotengeza kama Fundraising,Proposal na Events ,ndipo tutakapowalipa kama nilivyoeleza katika masharti hapo juu.

 

¨      Naomba uzamini au ushirikiano(partinership) wenu katika Tamasha la Kigoma youth talents Bonanza. Hili ni Tamasha ninalopanga kulitekeleza ili kuibua na kuinua vipaji vya vijana kigoma.

 

¨      Kwa wale watakao kuwa mbali na ofisi/Ofisini kwao ,watasaini memorandum of understanding kati yetu na wewe,na utapewa stahili zako zote.

 

Natanguliza shukrani

 

RAMADHAN JOEL NKEMBANTI

MKURUGENZI MTENDAJI

NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA.

0765794896.

WEB: envaya.org/nydt

 

 

October 18, 2012
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.