Log in
Nyakitonto youth for development Tanzania(NYDT)

Nyakitonto youth for development Tanzania(NYDT)

Head office:Kigoma ujiji,Buzebazeba ward,burega street,at mawen & Near Dr.livingstone lodge,p.o.box 890,Kigoma, Tanzania:dyouthkgm@yahoo.com.Hote line +255765794896,+255782990599.

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA YATOA USHUHUDA KWA MWAKILISHI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY(fcs) NDUGU,RICHARD KANTUNKA(FOUNDATION REP/JOURNALIST-RFA-KIGOMA.

Katika picha ni Richard Kantunka na Walengwa wa Mradi wa Kujengea Uwezo katika OFISI ya NYDT-tarehe 06.10.2012.

Ndugu Katunka alikaliliwa akisema,Namba ya Mawasiliano yenu ilikuwa imekosewa kwa Kuandikwa-)0765794996 badala ya 0765794896.

  • alisema kutokana na namba kukosewa Walishidwa kumpata mtu mwafaka wa NYDT-badala yake alipokea mtu kutoka TABORA ambaye alimjibu majibu mabaya.
  • Baada ya KUona OFISI,WATENDAJI na Walengwa wa NYDT-alishuhudia na kusema asasi ni nzuri,iko wazi,makini na Madhali yake yanaoyesha Uendelevu.
  • Picha na matukio hapa chini.

large.jpg

Mabalozi wa NYDT Talents Kigoma katika picha,Wa Tatu kutoka KUshoto niSNOPA FELY(BIGSAM)msanii nyota wa BongoFlava.

large.jpg

Mkurugenzi wa NYDT akiwa na SIYALEO SADOKI-mwanzilishi wa asasi na mhamasishaji vijana NYDT.

large.jpg

Msanii,mwanamke akisisitiza jambo,juu ya Kuinua vipaji vya Wanawake.

large.jpg

Nyota na Mfadhili wa Kundi la HOLDAY ART GROUP_kigoma akiteta na Mratibu wa NYDT talents Kigoma.

large.jpg

M.J.Y(mosha jumanne)Mwimbaji wa BongoFlava-Kigoma:alikuwa Chagua na MWASITI alipokuwa kigoma-kulia ni Ramadhan joel-Mkurugenzi NYDT.

large.jpg

Mr.Joseph E.Majebele(Mratibu wa NYDT Talents Kigomayouth,akiwasikiliza wasanii na mabolozi.

large.jpg

Ndugu,January Gervas-Mwakilishi wa VIWAWA_ART group akifafanua jambo-Aliomba NYDT isibaki nyuma na ifanye ziara katika kundi lake ili kujionea vipaji.

large.jpg

Bi Khajira rashidi-Balozi wa NYDT Talents Kigoma akitoa neno na shukurani kwa ugeni wa Ziara ya SAVE MY TALENTS.

large.jpg

Msanii wa Filamu-Kutoka holday art Group-Kigoma akichangia mada ya namna ya Kuwapokea SAVE MY TALENTS,Ambao wanatarajia kuja KIGOMA.