Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Moja ya uhai wa kikundi cha new vision Group ni kuendesha miradi itayoleta Tija na Mafanikio.
-Mradi wa kukusanya Mtaji kwa lengo la kuanza kutekeleza miradi iliyopangwa kufanyika.MRADI HUU UNATEKELEZWA MPAKA SASA.
- Mradi wa Bodaboda kwa lengo la kurahisisha huduma ya usafiri kwa wakina mama wajasiria mali toka Idara ya maji wanaofanya Biashara ya Samaki toka Ziwa Victoria.
-Mradi wa kuweka na kukopa kwa wafanya biashara wadogo wadogo ili kuweza kuwainua.