Envaya

Msembe Building Construction imeweza kupata mafanikio yafuatayo:

1. Kuongeza idadi ya wafanyakazi

2. kuongeza wataalamu waliobobea katika sekta ya ujenzi na uchoraji wa raman

3. kuwa na ofisi ya kampuni ya kudumu.

4. kujitangaza ndani na nje ya nchi

5. kuibua fursa za kimaendeleo katika jamii

Mapungufu yanayoikabili kampuni ya Msembe Building Construction

1. uhaba wa vitendea kazi mf. Magari ya kubebea mawe na mchanga, mashine za kuvuta maji kutoka ardhini, mashine ya kuchanganya zege

2. Uhaba wa wataalam

3. Kutokuwa na ofsi ya kudumu

MAHOMBI NA MAHITAJI

Msembe Building Construction inaomba kupata wafadhili au wadhamini katika mambo yafutayo:

1. Kuwa mdhamin au mfadhili wa kampuni katika mapungufu yaliyoainishwa hapo juu

2. Kuwa na mawazo au maoni ya kuishauri kampuni ili izidi kuendelea na kujulikana ndan na nje ya nchi kwa kuongea ufanisi na kupanua wigo katika sekta ya ujenzi.

 

MSEMBE BUILDING CONSTRUCTION (MBC) ipo tayari kupokea wafadhili au wadhamin kutoka nchi yeyote ambayo iko tayari kufanya kazi na MBC