Wana vikundi kutoka vijiji vya Mbambo, Kambasegela na Ilamba wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya wakiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Maendeleo ya Jamii Agnes Elikunda, na Mkuu wa Idara ya Mifugo Dr. Sangwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, baada ya kutoa mafunzo ya uhamasishaji kuhusu ufugaji wa kuku, sungura na nyuki! Kulia (aliyevaa koti) ni Mratibu wa Mpalano CDO, Edson Mwaibanje. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Mpalano CDO Juni 30-31, 2018.
14 Nyakanga, 2018