Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
TUPO KATIKA MCHAKATO WA USAJILI WA NGO YETU,KATIBA ,WASIFU WA VIONGOZI WATATU YAANI CV NA PICHA ZAO,MUHTASARI WA KIKAO CHA KUANZISHA SHIRIKA UKO TAYARI NA BARUA TOKA MTENDAJI WA KIJIJI(VEO) YA UTAMBULISHO TUNAYO,WIKI IJAYO TUNAPELEKA MAOMBI YETU WILAYANI/HALMASHAURI BAADA YA HAPO MKOANI MWISHOWE KWA MSAJILI WA NGO KTK WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII,
TOGETHER WE BUILD SOCIETY
JIONI NJEMA
27 Nzeli, 2012