Log in
MTWARA YOUTH ANTI AIDS GROUP

MTWARA YOUTH ANTI AIDS GROUP

Wilaya ya Mtwara , Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

MYAAG inakusudia kuwezesha mafunzo ya ujasiliamli kwa kamati za mtaa za kuhudumia watoto waishio katika mazingira hatarishi.  mafunzo yatafanyika kuanzia mwezi juni 2011.

Myaag inakusudia kuendesha mafunzo ya matumizi sahihi ya kondomu kwa jamii kupitia maeneoya Bar, kuanzia majira ya saa 1;00 na kuendelea. 

Jina la mradi SALAMA NIGHT.  Mradi utatekelezwa kuanzia mwezi juni 2011.

May 18, 2011

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.