Wazo la kuanzisha asasi ya MYAAG lilitoka kwa vijana wachache walio jitambua kuwepo katika hatari ya maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI tangia mwaka 2003 na kuanza kazi mwaka 2004.Pia asasi imesajiliwa rasmi mwaka 2006,Asasi inafanya kazi katika eneo la mkoa wa MTWARA.Asasi ina makao yake makuu manispaa ya mtwara mikindani,barabara ya makonde viwanya vya skoya,jirani na Rahareo Sekondari.MAFANIKIO; Asasi imefaniwa kuanzisha camp za vijana za mapambano dhidi ya ukimwi na elimu ya ujasiliamali.