baadhi watoa huduma ya uzazi wa mpango katika kaya wakiwa katika siku ya uzazi wa mpango .
watoto wakiwa kwenye mashindano ya kucheza siku ya uzazi wa mpango
mmoja wa wasanii wa mwela shabani shamte akiwapa mazoezi ya viungo watoto