gari limeharibika kipindi cha safari kuelekea Chogo wilaya ya Handeni
kwenye gari ni mgeni wa kutoka japani akiwa fild na kutembelea sehemu ambazo mwela theatre group wanafanya shughuli zao