washiriki wa mafunzo ya ujasiliamali wakiwa katika mafunzo ya ujasiliamali kata ya mtoni katika ukumbi wa mwale theatre group

aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la lulindi pia ni mwanaharakati wa wanawake akitoa hotuba katika mafunzo ya ujasiliamali kata ya mtoni

Mama msechu mjasiliamali mkongwe akiwapa udhoefu wake katika masuala ya ujasiliamali

Diwani viti maalumu wa kata ya mtoni akiwautubia washiriki wa mafunzo ya ujasiliamali yalofanyika kata ya mtoni,wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam katika ukumbi wa mwela theatre group