Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
FCS Narrative Report
Introduction
MTWARA SOCIETY AGAINST POVERTY
MSOAPO
Ushiriki wa Vijana katika nafasi za Uongozi na maamuzi
FCS/MG/3/09/118
Dates: 01 Septemba 2011 - 30 Novemba 2011 | Quarter(s): Nne |
Hassan Saidi Charle
S.L.P. 423, Mtwara
Simu: +255 878 313 819
Barua pepe: msoapi@yahoo.com
S.L.P. 423, Mtwara
Simu: +255 878 313 819
Barua pepe: msoapi@yahoo.com
Project Description
Governance and Accountability
Mradi huu una malengo ya kuimarisha ushiriki wa vijana katika michakato ya kugombea nafasi za uongozi wa kuchaguliwa na vyombo vya maamuzi. Mradi unajenga uwezo wa vijana katika kutambua na kutumia fursa za kuwa viongozi katika maeneo yao. Nafasi hizo za kugombea ni pamoja na; Madiwani, Wabunge na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika maeneo yao. Vilevile kuwezesha vijana kuelewa misingi ya uongozi bora, utawala wa sheria, utawala bora na wa kidemokrasia.
Pia kuwajengea uwezo vijana katika kutambua Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ili waweze kudai kwa Serikali utekelezaji thabiti wa sera husika kwa manufaa ya vijana, jamii na vizazi vijavyo. Mradi umejenga uwezo wa vijana kwa kuendesha mafunzo kuhusu; Uongozi wa Kidemokrasia, misingi ya Utawala bora na wa sheria, Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana n.k.

Region | District | Ward | Villages | Total Beneficiaries |
---|---|---|---|---|
Mtwara | Mtwara Vijijini | Madimba | Madimba, Mtendachi, Mngoji, Mitambo, Msimbati na Litembe | 385 |
Mtwara Vijijini | Nanguruwe | Mbawala, Nanguruwe, Namayakata Barabarani, Namayakata Shuleni, Mdui,Makome na Nachenjele | 385 | |
Mtwara Vijijini | Ziwani | Nambeleketela, Msakala, Nalingu, Sinde, Mnawene, Msangamkuu, Moma na Minyembe | 385 | |
JUMLA | 1155 |
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | |
---|---|---|
Female | 45 | 450 |
Male | 60 | 600 |
Total | 105 | 1050 |
Project Outputs and Activities
1.1. Kuongezeka kwauelewa wa wadau katika kutambuafursa za vijana kushika nyadhifa za uongozi katika jamii.
1.2. Uelewa juu ya elimu ya ushiriki wa nafasi za uongozi kwa vijana wa kata 3 za Ziwani, Madimba na Nanguruwe umeongezeka.
1.2.1. Kuongezeka kwa uelewa kwa vijana katika kutambua fursa za uongozi ngazi ya jamii.
1.3. Ongezeko la vijana wanaotambua sera za uongozi.
1.4. Ongezeko la uelewa wa vijana juuya kushiriki katika kugombea nafasi za uongozi kutoka katika kata za; Ziwani Madimba na Nanguruwe.

1. Kutambulisha mradi kwa wadau 40 wa maendeleo ili watambue mradi wa vijana wa kata za; Ziwani, Madimba na Nanguruwe kwa muda wa siku moja (1).
2. Kufanya mdahalo wa vijana 50 wa kata za; Ziwani, Madimba na Nanguruwe juu ya kutambua fursa za uongozi katika nyanja za kisiasa.
3. Kutengeneza vipeperushi vinavyochambua sera ya vijana na fursa zake.
4. Kuendesha mafunzo kwa vijana 105 wa kata za; Ziwani, Madimba na Nanguruwe kwa awamu 3 kila moja watu 35 kwa siku 3 ili waweze kushiriki katika kugombea nafasi za uongozi na maamuzi.
5.Kufanya ufuatiliaji na tathmini watu 7 kwa muda wa siku 2 katika kata za; Ziwani, Madimba na Nanguruwe.

1. Kufanyika kwa mkutano wa wadau 40 wa maendeleo kutoka kata za; Ziwani, Madimba na Nanguruwe kuwatambulisha mradi wa vijana kuhusu fursa za kushiriki uongozi na maamuzi katika nyanja tofauti.
2. Kufanyika kwa mdahalo wa siku 1 ulioshirikisha vijana 50 kutoka katika kata za; Ziwani, Madimba na Nanguruwe na kuwezeshwa kutambua fursa za uongozi katika nyanja tofauti ikiwamo ya kisiasa.
3. Kutengezezwa na kusambazwa kwa vipeperushi 800 kwa vijana vilivyochambua sera za vijana na fursa zao.
4. Kufanyika kwa mafunzo kwa vijana 105 kutoka kata za; Ziwani, Madimba na Nanguruwe ya kuwajengea uwezo vijana waweze kushiriki na kugombea nafasi za uongozi na vyombo vya utoaji maamuzi.
Kufanyika kwa ufuatiliaji na tathmini ya maendeleo ya utekelezaji wa mradi katika kata za; Ziwani, Nanguruwe na Madimba ili kubaini na kupima mafanikio, mapungufu na changamoto za utekelezaji wa mradi nakuibuliwakwa mikakati ya kuendeleza matunda ya mradi.

Hakuna tofauti yoyote iliyojitokeza.
1. Mkutano wa wadau wa kutambulisha mtadi wa vijana (TZS. 3,004,000/=)
2. Kuendesha Mdahalo wa vijana (TZS. 692,000/=)
3. Kuchapisha na kusambaza vipeperushi kuhusu Sera na fursa (TZS. 407,000/=)
4. Kuendesha mafunzo ya kujenga stadi na maarifa ya uongozi kwa vijana
(TZS. 21,840,000/=)
5. Kufanya ufuatiliaji na tathmini (TZS. 639,000/=)

Project Outcomes and Impact
1. Kuwepo kwa ushiriki wa vijana wa kata za; Ziwani, Madimba na Nanguruwe zilizopo Mtwara vijijini katika nafasi za uongozi na vyombo vya utoaji maamuzi.
2. Kuongezeka kwa ushiriki wa vijana katika michakato ya kugombea nafasi za uongozi na vyombo vya utoaji wa maamuzi.
2. Kuongezeka kwa ushiriki wa vijana katika michakato ya kugombea nafasi za uongozi na vyombo vya utoaji wa maamuzi.
1. Kiwango cha uelewa wa vijana wa kata za; Ziwani, Madimba na Nanguruwe kuhusu Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana na fursa za uongozi zilizopo kimeboreka.
2. Kuongezeka kwa hamasa ya vijana katika kugombea nafasi za uongozi wa kuchaguliwa na uwakilishi katika vyombo vya utoaji maamuzi.
3. Kuongezeka kwa idadi ya vijana waliogombea na kupata nafasi za uongozi katika vyama vya ushirika vya msing ushirika).
4. Kuimarika kwa mitandao ya vijana iliyopo ngazi ya kata.
5. Kuongezeka kwa mwamko kwa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kuwashirikisha vijana kwenye michakato mbalimbali ya kiuongozi na maendeleo kiujumla.

1. Kuongezeka kwa uelewa wa jamii kuhusu umuhimu wa vijana kupatiwa fursa za uongozi na vyombo vya utoaji maamuzi katika maeneo yao.
Hakuna sababu zozote zilizopelekea mabadiliko.
Lessons Learned
Explanation |
---|
Vijana wakijengewa uwezo na kupatiwa fursa za uongozi na uwakilishi katika vyombo vyautoaji maamuzi wanaweza kutoa mchango mkubwa na muhimu katika maendeleo. |
Vijana wenye vipaji na uwezo wa kuwa viongozi bora hawajitokezi kugombea nafasi za uongozi kwa kuwa hawajitambui na wanakosa kujiamini. |
Vijana wakijengewa uwezo na kuwezesha katika vikundi wanaweza kujitafutia kipato kwa njia halali na kujiletea maendeleo endelevu. |
Waandishi wa habari ni muhimu sana kushirikishwa katika hatua tofauti za utekelezaji wa mradi ili waweze kuhabarisha wananchi wakiwamo walengwa wa mradi |
Katika jamii bado kuna mila na desturi potofu zinazokandamiza na kutishia vijana kutojitokeza kugombea nafasi za uongozi na uwakilishi wa wananchi (Mf. kutishiwa kulogwa/uchawi) |
Vijana wengi waliopo vijijini wana kiwango kidogo cha elimu hivyo kuna haja ya kujengewa uwezo ili kuongeza wigo wa maarifa na stadi za kujitambua na kujiamini katika masuala ya; kiuchumi, kijamii, kiutamaduni na kisiasa. |
Kundi la vijana ni miongoni mwa makundi yaliyo pembezoni na katika hatari zaidi ya kuathiriwa na umaskini (vulnerable) na hivyo kutopewa fursa na nafasi ya kuonesha uwezo na vipawa vyao. |
Challenges
Challenge | How it was overcome |
---|---|
Miundombinu ya barabara za vijijini haipo katika hali nzuri kuwezesha kusafiri pasipo usumbufu. | Kuwashauri vijana kuwahi kuondoka katikamaeneo ya vijiji vyao ili wafike Mtwara manispaa mapema na hivyo kuwahi mafunzo kwa wakati muafaka. |
Mfadhili kuchelewesha kutoa fedha za ruzuku kwa wakati muafaka. | Kuvuta subira hadi pale mfadhili alipoweza kutuma fedha za kutekeleza mradi huku mawasiliano yakifanyika kwa afisa anayesimamia mradi aliyepo FCS. |
Baadhi ya vijana wanawakatisha tamaa na kuwatishia wenzao kutogombea nafasi za uongozi kwa imani za kishirikina (kulogwa/uchawi) | Kuwaelimisha, kuwahamasisha na kuwatia moyo na nguvu vijana wanaokatishwa tamaa na wanaokatisha wenzao. |
Kata za utekelezaji wa mradi ziligawanywa na kuwa kata zaidi ya moja kabla ya utekelezaji wa mradi huu. | MSOAPO ililazimika kutekeleza mradi katika kata zenye majina halisi na ya msingi kwa mujibu wa mradi. |
Mila na desturi potofu zinazoendelea katika jamii zinawakandamiza vijana wakiwamo wenye vipaji za kuwa viongozi (Mf. wasichana kulazimishwa kuolewa) | Kuelimisha na kuhamasisha jamii kuachana na mila na desturi potofu zinazokandamiza vijana wakiwamo wenye vipaji vya kuwa viongozi bora katika jamii. |
Linkages
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Viongozi wa Serikali za Mitaa | Kuhamasisha jamii kuunga mkonojitihada zinazofanywa na MSOAPO kuelimisha vijana na jamii kiujumla. |
Vijana wenyewe | Kushiriki katika utekelezaji wa mradi kwa kupokea mafunzo na kuyatumia katika kutumia fursa za uongozi zilizopo |
Vyombo vya Habari | Kuhabarisha jamii juu ya mwenendo wa utekelezaji wa mradi |
Asasi za KIraia na Mitandao ya AZAKi | Kupata taarifa rejea ili kusaidia kutekeleza mradi kiufanisi. |
Maafisa Maendeleo ya Jamii ngazi ya Kata na Wilaya | Kupata ushauri katika utekelezajhi wa mradi na kuhamasisha viongozi wa serikali za mitaa na vijana (walengwa wa mradi) |
Future Plans
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Hakuna mipango ya baadae katika utekelezaji wa mradi huu kwa kuwa robo hii ni ya nne (mwisho wa utekelezaji mradi wa mwaka mmoja) |
Beneficiaries Reached
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | ||
---|---|---|---|
Widows | Female | - | - |
Male | - | - | |
Total | - | - | |
People living with HIV/AIDS | Female | 3 | 30 |
Male | 2 | 20 | |
Total | 5 | 50 | |
Elderly | Female | - | - |
Male | - | - | |
Total | - | - | |
Orphans | Female | - | - |
Male | - | - | |
Total | - | - | |
Children | Female | - | - |
Male | - | - | |
Total | - | - | |
Disabled | Female | 6 | 60 |
Male | 11 | 110 | |
Total | 17 | 170 | |
Youth | Female | 25 | 250 |
Male | 48 | 480 | |
Total | 73 | 730 | |
Other | Female | 4 | 40 |
Male | 6 | 60 | |
Total | 10 | 100 |
(No Response)
Events Attended
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Mafunzo ya Usimamizi wa Fedha za Ruzuku (MYG) | 2009 | Mbinu za Usimamizi wa fedha za ruzuku na utekelezaji wa mradi kiufanisi | Kutekeleza na kusimamia mradi kwa kuzingatia maelekezo na taratibu zinazostahili (ufanisi) |
Mafunzo ya Ukuzaji na Uendeshaji AZAKi | 2011 | Mbinu na stadi za ukuzaji na uendeshaji wa AZAKi | Kujenga uwezo wa wanachama wengine wa asasi juu ya ukuzaji na uendeshaji wa asasi kiufanisi |
Mafunzo ya Utunishaji mfuko wa Asasi | 2011 | Mbinu na maarifa ya kuongeza mapato ya asasi | Kubuni miradi ya asasi ya utunishaji mapato |
Mkutano wa Habari za Ruzuku toka FCS | 2009 | Namna ya kuandika michanganuo bora ya miradi | Kujengea uwezo wanachama wengine ambao hawajahudhuria |