Log in
Morogoro Press Club

Morogoro Press Club

Morogoro, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

May 7, 2014
« Previous Next »

Comments (1)

Maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari mwaka 2014 katika mkoa wa Morogoro Morogoro Press Club iliungana na wadau wengine wa habari walifanya maandamano na midahalo siku ya Mei 3,2014 hususana vyuo vya waandishi wa habari katika mkoa wa Morogoro.Pia tarehe 4/5/2014 waandishi waliongozwa na Morogoro Press Club walikwenda Wilaya ya Kilosa ambako walianza kutembelea Hospitali ya wilaya ya Kilosa na kutoa zawadi kwa wagonjwa katika wadi ya wamama wajawazito na wadi ya watoto.Kisha maandamano yalielekea katika ukumbi wa Babylon na kuzindua program ya habari za vijijini.
May 7, 2014

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.