Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Kazi za MDA
1.Kusaidia WAVIU wa tarafa ya Imalinyi ufugaji wa kuku wa kienyeji ili waweze kupata kipato na lishe bora kutokana na ufugaji wa kuku
2.Utawala bora.MDA inaelimisha jamii juu ya ushirikishwaji katika kutoa maamuzi yao wenyewe ya kuleta maendeleo kwenye vijiji vyao.mradi huu upo katika tarafa za lupembe na makambako
3.MDA inasaaidia ufugaji wa nguruwe kwa ajili ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi ili waweze kupata mahitaji muhiu ya shule.Mradi huu upo katika kijiji cha mjimwema