1 Josephat Marema [M] Executive Director +255786996958/+255766209080
[a] Atakuwa msemaji mkuu wa shirika.
[b] Atakuwa ndiye mwangalizi wa mwenendo mzima wa shirika.
[c] Ataidhinisha mihtasari ya kuomba na kuchukua fedha benki.
[d] Atawajibika kwa mkutano mkuu.
[e] Atakuwa mwenyekiti wa kamati ya fedha.
2 Francis Katoto [M] Treasure +255756251330/+255789908562
[a] Atatunza kumbukumbu zote zinazohusu maswala ya fedha na kuyakatia stakabadhi hala halali ya shirika
[b] Atapokea malipo yote yanayolipwa ndani ya shirika na kuyakatia stakabadhi halali ya shirika
[c] Atafanya malipo halali yaliyoidhinishwa na kamati tendaji.
[d] Atakuwa mweka saini kwenye akaunt benki.
[e]Kuwa mshauri mkuu wa kitendaji kuhusu maswala ya fedha.
[f] Ataanda makisio ya mapato na matumizi ya NGO.
3 Simon Kulwa [M] Project Manager +255754878949
[a] Atatafuta miradi mbalimbali na kuandikia mpango kazi.
[b] Atahimiza mapato ya shirika.
[c] Atafatilia mafanikio ya mpango kazi aliyoiandikia mradi.
[d] Ndiye mtoa sera mbalimbali za mradi katika shirika.
4 Joyce Seka [F] Project Co-ordinator {Environmental} +255784591673
5 Dasmas Matiti [M] Community Relationship Manager +255756743646
6 Msingo Maisa [F] Project Co-ordinator{Education} +255759809885
7 Jane Ndongo [F] Member +25578449999
8 Mary Fideli [F] Member +255764951419
9 Marco Magese [M] Member +255766612744
10 Rahel Kaswahili [F] Member +255755313917
11 Mariam Thengo [F] Member +25568680879