Fungua
Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania

Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania

Geita, Tanzania

Hawa ni wakulima wa mashamba ya miwa yaliyolimwa kandokando ya ziwa victoria wanavyoonekana katika picha.Wakati timu ya kamati ya ifadhi mazingira iliyoundwa kusimamia miradi yao ya kulinda uwoto wa asili na ziwa lisivuliwe chini ya Afisa Samaki,Misitu,na Asasi isiyo yan Kiserikali.CHINI YA KAMPENI YA TAIFA YA UIFADHI MAZINGIRA ZIW VICTIRIA. 06/03/2013

1 Katikati katika picha ni mwenyekiti wa kamati ya uhifadhi Mazingira kijiji cha Nungwe,kata ya Chigunga Wilayani Geita.Ndg C. Mnene

2  Kushoto ni Katibu wa Kamati.J.Katemi

3  Kulia ni Mkurugenzi wa Asasi MAUJATA Ndg J.Marema

6 Machi, 2013
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (Mtaa wa Nyanza,Kata Kalangalala,Wilaya ya Geita,Mkoa wa Geita) alisema:
Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania imefanya kazi na Halmashauri ya Geita katika kuibua mradi wa MAZINGIRA unaoitwa OBORESHAJI MAZINGIRA BONDE LA ZIWA VICTORIA.1 Kondo la Nungwe.
2 Nkome.
3Kabiga
17 Aprili, 2013

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.