Log in
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)

Dodoma, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kitendo cha seikali kuwataka Madaktari kuacha mgomo na kurudi kazini kuokoa wagonjwa na Madaktai hao kuto tii wito huo; je kuna uwezekano kwamba madaktari wanadhani serikali itawadanganya?

Fullgence (Dodoma)
January 26, 2012 at 10:43 PM EAT

Upo uwezekano mkubwa kwamba kitendo cha madaktai kuto tii wito wa serikali kunatokana na ukweli kwa ahadi nyingi zinatolewa na serikali ili kulainisha mambo na si kutatua tatizo.

Enapo madaktai watakubali kukopwa na wao kuzubaa; kutaifanya  serikali kulala usingizi na kuwadahau.

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)
May 10, 2012 at 9:46 AM EAT

UTEUZI WA WAKUU WA WILAYA, 2012

Kitendo cha Rais JK kuendelea kuwateua Wabunge kwenye nafasi za Wakuu wa Wilaya licha ya kulalamikiwa kwa kuwateua Wabunge kwenye wadhifa wa Wakuu wa Mikoa katika uteuzi uliopita; Je ni kupuuza mawazo ya wananchi au anafanya hivyo kwa maslahi yake binafsi?

Research,Planning and Project Write-up Association-NGO (Iringa Municipality a Southern Highlands Zone Head Office.)
May 11, 2012 at 11:52 AM EAT

Maoni yote ni ya msingi sana, tujitahidi kuzingatia kuondoa kasoro hizi katika utoaji maoni kwenye Tume ya Kurekebisha Katiba/ au Kuandika katiba mpya ya nchi. Yawepo mambo ya Kitaifa ambayo chama chochote kiwapo madarakani serikari yake italazimika kuyatekeleza iwavyo hivyo. Tutofautiane tu na mbinu/au mwendo kasi (speed) za utekelezaji. Mfano kwa nchi kama ya Marekani Mshikamano wao na Uingereza ni kwamba, " Lolote kati yao atakatamka kiulimwengu lazima upande mwingine uunge mkono, mfano hai ni pale Waziri Mkuu Bw. Cameroon alivyotamka kwamba ndoa ya jinsia moja nchin kwake na nchi zote zinzotegemea misaada kwake ni halali, Marekani imekuwa ya kwanza kuhalalisha Ndoa ya jinsia moja. Tafakarini.


Add New Message

Invite people to participate