Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

1) Tunasomesha watoto waliotoka katika mazingira magumu.

2) Tunalea watoto waliotoka kwenye mazingira hatarishi.

3) Tunashauri kwa maswala ya UKIMWI.

4) Tunatoa elimu ya kujitegemea kwa vijana wa vijijini.

5) Tunaboresha familia duni.

6) Tunatunza wazee.