Envaya

LATI's country director on the day she visited Babati Town Council office.Alipotembelea ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Babati.Kushoto ni Afisa Elimu Ufundi Halmashauri ya Mji wa Babati.Kusudi la Mkurugenzi wa LATI kufika ofisini huko ni kuhusu mradi wa kusaidia vijana walio nje ya shule kupata mafunzo ya Stadi za maisha na ufundi.Mradi utakaoanza 2014-2018.

1 Juni, 2013
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.