Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Sports and games.

Volunteer activities Computer class.

IYF youth camp,English Class

IYF partners with NGO's ,we attended the The World Youth Camp Tanzania. 

Washiriki wakiwa kwenye chakula.

Wanachama wa LATI wakiwa kwenye mafunzo ya kujengewa uwezo.

Mwalimu wa Shule ya awali Maji ya Moto iliyoko wilayani Babati katika kijiji cha Masware akipokea ubao wa kufundishia kutoka kwa Katibu Mkuu wa LATI.

Watoto wakimshukuru mfadhili wao,baada ya kupokea unga na sukari kwa ajili ya uji.