Log in
KACA (Kilimanjaro Aids Control Association)

KACA (Kilimanjaro Aids Control Association)

Moshi, Tanzania

Partner Organizations
Latest Updates
White Orange Youth
Bwana Wilbafos kutoka kampuni ya ukaguzi wa mahesabu ijulikanayo kama Kepler Consultants akifanya ukaguzi wa mahesabu katika ofisi za White Orange Youth ambapo alitumwa na The Foundation for Civil Society Read more
October 21, 2013
White Orange Youth
Ms. Nsile Mwakalobo akipokea maelezo toka kwa mratibu wa WOY bwana Gamaliel Mbalase namna miradi ya WOY ilivyotekelezwa
October 8, 2013
White Orange Youth
Ulingo wa Mabaraza ya Rasimu ya Katiba Mpya-Moshi Mjini – UTANGULIZI – Vijana wa Manispaa wa Moshi wamepata fursa ya kukutana pamoja kwa muda wa siku tatu na kutoa maoni yao kuhusiana na rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkutano huu wa... Read more
September 4, 2013
White Orange Youth
A.JINA KAMILI LA ASASI – WHITE ORANGE YOUTH ... Read more
August 31, 2013
White Orange Youth
Mkutano wa siku 3 wa kukusanya maoni ya katiba umemalizika na vijana wamefanikiwa kutoa maoni yao. mambo makuu yaliyojitokeza ni pamoja na. Madaraka ya rais ni makubwa, idadi ya wabunge na idadi ya majimbo yaongezwe, haki za walemavu zibainishwe, lugha ya kiswahili iwekewe mkazo na kuthaminiwa, serikali tatu italegeza... Read more
August 31, 2013
White Orange Youth
washiriki wakijadili rasimu ya katiba mpya na kutoa maoni ya maboresho
August 28, 2013
White Orange Youth
Children of WOY club speak out their voice during the children rights radio program
August 5, 2013
White Orange Youth
With Elia and Elisha @ Katanini Primary School
July 17, 2013
White Orange Youth
White Orange Youth created a Home page.
White: clear goals Orange: the fruits of success Youth: the population we serve – Background: White Orange Youth was founded in 1997 by a group of young professionals who believed that through collective action, empowered youth could improve their quality of life by contributing to the social, economic, and political development of... Read more
July 16, 2013
White Orange Youth