KASULU SPORTS ACADEMY kikosi B umri chini ya miaka 15
pichani wakiwa katika mechi ya kirafiki dhidi ya TITYE SPORTS CLUB
katika mechi hiyo timu zote mbili zilifungana goli 1-1
17 Julai, 2014
(Afahamiki) alisema:
Kasulu sports Academy yachukua ubigwa kombe La kalanje.baada ya kuwafunga( pwagu)Kasulu kids goli 1-0 nakuzawadiwa kikombe.na pesa taslim elfu.50
Maoni (2)
pichani wakiwa katika mechi ya kirafiki dhidi ya TITYE SPORTS CLUB
katika mechi hiyo timu zote mbili zilifungana goli 1-1