FCS Narrative Report
Utangulizi
KILIO CHA WAATHIRIKA NA WAATHIRIWA WA UKIMWI MBARALI
KIWWAUMBA
Kampeni ya Ushawishi na Utetezi dhidi ya jamii ya Mbarali na Viongozi wa Serikali juu ya Ukiukwaji wa Haki za wajane.
FCS/MG/2/11/279
Tarehe: Disemba 22/2011-Februari 21/2012 | Kipindi cha Robo mwaka: Robo ya 1 |
Amina Elias Mwinami
S.L.P 93 Rujewa
+255-763679590
morielmiss@yahoo.com
S.L.P 93 Rujewa
+255-763679590
morielmiss@yahoo.com
Maelezo ya Mradi
Sera
Mradi wa kampeni ya ushawishi na utetezi dhidi ya jamii ya Mbarali na viongozi wa serikali juu ya haki za wajane ni mradi mahsusi unaolenga katika kupunguza adha wanazokumbana nazo wanawake wajane wilayani Mbarali.
Ili kufikia malengo yaliyowekwa, mradi huu umejikita katika kuhakikisha wananchi wa Mbarali na viongozi wake wanaijua na kuielewa kwa undani sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia, sheria, kanuni na taratibu mbalimbali zinazolenga kukuza na kuboresha ustawi wa mwanamke hususani wanawake wajane ambao hukumbana na adha nyingi katika maisha yao.
Aidha mradi unawahamasisha wananchi na viongozi wa Serikali kupiga vita uonevu na ukandamizaji wa aina yeyote dhidi ya wanawake wajane ili kufikia ustawi wa jamii iliyo bora.

Mkoa | Wilaya | Kata | Vijiji | Idadi ya Wanufaika |
---|---|---|---|---|
Mbeya | Mbarali | Rujewa, Igurusi, Chimala, Mapogoro, Madibira, Ubaruku, Utengule usangu, Ruiwa, Imalilo Songwe, Itamboleo, Mahongole, Igomelo, Igava, Mawindi, | Vijiji vyote (99) Wilayani Mbarali | 280 Kwa Robo ya Kwanza |
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | |
---|---|---|
Wanawake | 140 | 149976 |
Wanaume | 140 | 147711 |
Jumla | 280 | 297687 |
Shughuli na Matokeo ya Mradi
1.1 Wadau na viongozi wa serikali na wawakilishi wa vyombo vya habari (watu 80: Mbunge,Madiwani, wakuu wa idara, Viongozi wa madhehebu ya dini, vyama vya siasa,AZISE na wadau muhimu) wameshiriki mdahalo unaohusiana na ukiukwaji wa Haki za wajane wilayani Mbarali
1.2 Sera ya maendeleo ya wanawake na sheria za mirathi na ndoa zimetafsiriwa katika lugha rahisi.
1.2 Sera ya maendeleo ya wanawake na sheria za mirathi na ndoa zimetafsiriwa katika lugha rahisi.
1.1.1Kufanya mdahalo wa wadau na viongozi wa Serikali wa Wilaya ya Mbarali na wawakilishi wa vyombo vya habari, jumla ya watu 80
1.2.1 Kutafsiri sera na sheria ya maendeleo ya wanawake ya mwaka 2003 katika lugha rahisi
1.3.1Utawala na uendeshaji
1.2.1 Kutafsiri sera na sheria ya maendeleo ya wanawake ya mwaka 2003 katika lugha rahisi
1.3.1Utawala na uendeshaji
1.1 Mdahalo wa siku moja umefanyika na kuhusisha wadau 80 (Mbunge, madiwani, wakuu wa idara, taasisi za dini, siasa, azaki na wananchi)
Mambo yaliyojadiliwa:
-Sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia
-Haki za wanawake ( kumiliki ardhi, ndoa, mirathi)
-Hali halisi ya wanawake wilayani Mbarali.
1.2 Nakala za Sera na sheria za ndoa na mirathi zimetafsiriwa katika lugha rahisi
Shughuli za utawala na uendeshaji zimefanyika ikiwa ni pamoja ununuzi wa vifaa(kompyuta, shajara) na malipo ya mishahara kwa mratibu na mhasibu kwa robo ya kwanza.

Nakala 200 za mfano za awali, za sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia, sheria ya ndoa na mirathi hazikuchapishwa kutokana na gharama zake Kiasi cha Tsh ( 600,000/=)kusahaulika kujumuishwa katika bajeti ya mradi robo ya kwanza
1.1.1Kufanya mdahalo wa wadau na viongozi wa Serikali wa Wilaya ya Mbarali na wawakilishi wa vyombo vya habari, jumla ya watu 80. 2,905,400/=
1.2.1 Kutafsiri sera na sheria ya maendeleo ya wanawake ya mwaka 2003 katika lugha rahisi
3,000,000/=
1.3.1Utawala na uendeshaji. 3,734,000/=
1.2.1 Kutafsiri sera na sheria ya maendeleo ya wanawake ya mwaka 2003 katika lugha rahisi
3,000,000/=
1.3.1Utawala na uendeshaji. 3,734,000/=
Mafanikio au Matunda ya Mradi
1.1 Wadau na viongozi wa serikali na wawakilishi wa vyombo vya habari (watu 80: Mbunge,Madiwani, wakuu wa idara, Viongozi wa madhehebu ya dini, vyama vya siasa,AZISE na wadau muhimu) wameshiriki mdahalo unaohusiana na ukiukwaji wa Haki za wajane wilayani Mbarali
1.2 Sera ya maendeleo ya wanawake na sheria za mirathi na ndoa zimetafsiriwa katika lugha rahisi.
1.2 Sera ya maendeleo ya wanawake na sheria za mirathi na ndoa zimetafsiriwa katika lugha rahisi.
- Wadau na viongozi wa serikali walioshiriki mdahalo wamepata fursa ya kujadiliana na kuelewa masuala ya msingi yanayohusu wanawake wajane (Sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia, Sheria za mirathi na Ndoa) na mambo mengine yanayowakandamiza wajane.
-Wananchi wamepata fursa ya kuelewa Sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia na sheria za ndoa na ,irathi zilizotafsiriwa katika lugha rahisi.
-Wananchi wamepata fursa ya kuelewa Sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia na sheria za ndoa na ,irathi zilizotafsiriwa katika lugha rahisi.
-Viongozi wa serikali na taasisi zake husika (Mahakama, Mabaraza ya kata, Polisi na Watendaji wa kata na vijiji) wameanza kufuatilia malalamiko na ukandamizaji dhidi ya wajane.
Hakuna mabadiliko yeyote
Mambo Mliyojifunza
Maelezo |
---|
Ukandamizaji wa haki za wajane umeshika kasi zaidi kwa wanawake wajane wa jamii za wafugaji na wale walio pembezoni kabisa mwa wilaya kutokana na kutofikiwa na taasisi mbalimbali za kijamii, aidha jamii za wafugaji bado zinafungwa sana na mila na desturi ambazo baadhi yake hukandamiza haki za wajane Kama vile kurithiwa. |
Viongozi wa serikali hususani taasisi za kutoa na kusimamia upatikanaji wa haki yaani Mahakama, Polisi, Watendaji wa Kata, Vijiji na Mabaraza ya kata wamekuwa hawatendi kazi yao ipasavyo katika kukabiliana na ukandamizaji wa haki za wajane kutokana na aidha kupokea rushwa, kwa makusudi ama kuathiriwa na mila na desturi kandamizi. |
Wanawake wengi wajane hawaelewi haki zao za msingi na ni mahala wapi wanaweza kwenda kuzipata kutokana na viwango duni vya elimu walivyonavyo ikiwa ni pamoja na kufungwa na tamaduni kandamizi. |
Jamii ya watu wa Mbarali bado inaendelea kukumbatia imani na tabia za kishirikina hasa pale ambapo wanapowatishia wanawake wajane kuwaroga endapo tu wataendelea kung’ang’ania mali za marehemu. |
Changamoto
Changamoto | Namna mlivyokabiliana nazo |
---|---|
Baadhi ya washiriki kuchelewa katika mdahalo. | Kusogeza mbele muda wa kuanza na kumaliza mdahalo ili kufikia malengo yaliyowekwa |
Baadhi ya viongozi wa serikali waliohitajika kutuma wawakilishi wao ambao hawakuwa na taarifa za kutosha ama uelewa wa kadiri kuhusiana na ukandamizaji wa haki za wajane. | Tumewaomba wahusika taarifa hizo watuletee kwa maandishi |
Nakala mia mbili za awali za sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia hazikuchapwa kutokana na gharama zake kiasi cha Tsh laki sita (600,000/=)kutojumuishwa/kusahaulika katika bajeti ya robo ya kwanza ya mradi | Kuwasiliana na msaidizi wa mradi kuona fedha hizo zitakavyopatikana na kufanya kazi husika |
Mahusiano
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali | Kuruhusu watumishi na viongozi wake kushiriki mdahalo |
Mahakama ya Wilaya | Kuruhusu wataalam wake kushiriki na kutoa mada |
Jeshi la Polisi | Kuruhusu wawakilishi wao kushiriki mdahalo. |
Taasisi za dini | Kuridhia wawakilishi wao kushiriki mdahalo |
Vyama vya Siasa | Kushiriki mdahalo na kutoa uzoefu wao kuhusiana na ukiukwaji na ukandamizaji wa haki za wajane. |
Mipango ya Baadae
Shughuli Zilizopangwa | Mwezi wa 1 | Mwezi wa 2 | Mwezi wa 3 |
---|---|---|---|
Kufanya mafunzo kwa kamati za maendeleo ya kata na wajane juu ya sera ya maendeleo ya wanawake na sheria ya kumiliki mali katika kata zote 20 za wilaya ya Mbarali. | √ | √ | √ |
Utawala na uendeshaji. | √ | √ | √ |
Walengwa Waliofikiwa
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | ||
---|---|---|---|
Wajane na Wagane | Wanawake | 5 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 20 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 25 | (Hakuna jibu) | |
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI | Wanawake | 7 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 7 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 14 | (Hakuna jibu) | |
Wazee | Wanawake | 12 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 18 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 30 | (Hakuna jibu) | |
Watoto Yatima | Wanawake | 6 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 6 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 12 | (Hakuna jibu) | |
Watoto | Wanawake | 1 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 1 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 2 | (Hakuna jibu) | |
Watu wenye Ulemavu | Wanawake | 6 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 7 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 13 | (Hakuna jibu) | |
Vijana | Wanawake | 20 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 25 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 45 | (Hakuna jibu) | |
Watu wengine | Wanawake | 76 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 67 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 143 | (Hakuna jibu) |
(Hakuna jibu)
Matukio Mliyoyahudhuria
Aina ya Tukio | Lini | Mambo uliyojifunza | Hatua zilizochukuliwa |
---|---|---|---|
01.Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku | 3-6/March 2009, 27 June-1 Julai 2011 | Usimamizi wa Ruzuku. Uandishi wa Taarifa | Kuandaa vitabu vya fedha na majalada ya taarifa |
02 Mafunzo ya uandaaji na usimamizi wa miradi | 28/2/2011-02/03/2011 | Namna ya kuibua, kuandaa na kusimamia miradi | Kuandaa mradi wa kampeni ya ushawishi na utetezi dhidi ya jamii ya Mbarali juu ya ukiukwaji wa haki za wajane |
Viambatanisho
(Hakuna jibu)
Maoni (0)