VISSION;
Tunataka kuona jamii inayoona kuwa Maisha bora kwa akina mama ni haki za bianaadamu. .
MISSION;
Kuhakikisha kwamba kila mwanamke aliye hai anapata haki yake sawa na haki za binaadamu zinavyotamkwa na vyombo mbali mbali vikiwemo vya umoja wa mataifa,katiba,sheria n.k..kujitahidi kwa kutumia raslimali zinazopatikana na njia zote zinazowezekana kuboresha maisha ya mwanamke anayeishi katika mazingira magumu,kutia ndani wajane,walamavu ,wazee ,nawenye mtidio wa akili na kuwawezesha kwa mbinu zote kuhakikisha wanaishi maisha yaliyokusudiwa yasiyo na namna yeyote ya dharau kunyanyaswa,kukeketwa,kunyanyapaliwa kwa aina yeyote,na kutengwa kwa makusudi.
Mabadiliko Mapya

KISESA WOMEN NET WORK imeongeza Habari 3.
Uongozi wa kisesa women network unaoa shukurani za dhati kwa uongozi na watumishi wa The foundation for civil socierty kwa moyo wao wa uwajibikaji katika kufadhili mafunzo haya. Soma zaidi
29 Agosti, 2014

KISESA WOMEN NET WORK imeongeza Habari 2.
PICHA YA PAMOJA YA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WAKIWAAGA VIONGOZI WA KIWO JULY 2013
13 Agosti, 2013
KISESA WOMEN NET WORK imehariri ukurasa wa Mkuu.
VISSION; – Tunataka kuona jamii inayoona kuwa Maisha bora kwa akina mama ni haki za bianaadamu. . – MISSION; – Kuhakikisha kwamba kila mwanamke aliye hai anapata haki yake sawa na haki za binaadamu zinavyotamkwa na vyombo mbali mbali vikiwemo vya... Soma zaidi
13 Agosti, 2013

KISESA WOMEN NET WORK imeongeza Habari 5.
PICHA YA PAMOJA YA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WAKIWAAGA VIONGOZI WA KIWO JULY 2013
26 Julai, 2013
KISESA WOMEN NET WORK imehariri ukurasa wa Mkuu.
VISSION; – Tunataka kuona jamii inayoona kuwa Maisha bora kwa akina mama ni haki za bianaadamu. . – MISSION; – Kuhakikisha kwamba kila mwanamke aliye hai anapata haki yake sawa na haki za binaadamu zinavyotamkwa na vyombo mbali mbali vikiwemo vya... Soma zaidi
2 Aprili, 2013

KISESA WOMEN NET WORK imeongeza Habari 8.
wajumbe wa kamati tendaji wakimpa ushuri nasaha mirenbe charles mjane, anayeishi katika mazingara magumu na watoto wadogo wanne wote hawajaanza shule. Soma zaidi
29 Machi, 2013
Sekta
Sehemu
mwanza, Mwanza, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu