Envaya

Uongozi wa kisesa women network unaoa shukurani za dhati kwa uongozi na watumishi wa The foundation for civil socierty kwa moyo wao wa uwajibikaji katika kufadhili mafunzo haya.

large.jpg

29 Agosti, 2014
« Iliyotangulia

Maoni (1)

KISESA WOMEN NET WORK (Kisesa ward MAGU) alisema:
Picha hii ya pamoja inaonesha washiriki na wawezeshaji waliohudhuria mafunzo katika mradi wa kujenga uwezo wanachama na viongozi wa KIWO,Picha imepigwa baada ya kumaliza mafunzo ya mwisho ambayo yalijumuisha wanajamii wa baadhi ya vitongoji vya kata ya WITA;A;
29 Agosti, 2014

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.