Envaya

large.jpg

Ndugu,John B.Mosha-Mkurugenzi Mtendaji-KIUNGONET akimkaribisha Mgeni rasmi na Kutoa neno kwa Washiriki.Mosha amesisitiza wananchi kutumia Fursa ya Mdahalo kutoa kero zao kwa kuwa Ni Nadra viongozi kukutana na wananchi kwa lengo la kujibu Kero zao.

2 Agosti, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.