Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Mwenyekiti wa Kiungonet(Kushoto)na Mkurugenzi wa Kiungonet(Kushoto)wakijadili jambo.
Comments (0)
Ndugu John B.Mosha-Mkurugenzi-KIUNGONET akibadilishana mawazo na watoa Mada.Bwana Musa Madua na Tereba Theonest.Katika Ukumbi wa Kibo Peak.
Mwenyekiti wa KIUNGONET Ndugu,Kashindi Tabwe akiwasikiliza wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini wakati wa Mdahalo.
Ndugu,John B.Mosha-Mkurugenzi wa KIUNGONET akiwasikiliza wananchi wakitoa kero zao,katika mdahalo uliofadhiliwa na The foundation for civil society(fcs) na kuendeshwa na Kiungnet-Ukumbi wa Kibo Peack-Jimbo la Kigoma Mjini.