Envaya

Kasagula children care

Dodoma, Tanzania

Kusaidia na kuhakikisha watoto wanaoishi mazingira magumu wanapata haki zao za jamii kama Elimu , afya bora , mavazi, chakula na malazi pia kuna watoto wenye ulemavu ni VIZIWI na BUBU hawa pia watasimawiwa ili wapate elimu kama watoto wengine kwa ni wamesahaulika katika jamii zetu, sisi tumewaona na tumewachukua na shule tumewatafutia ila wanaupufu wa vifaa vya kujifuzia kama Healing aid, shirika langu tukishirikiana na mashirika mengine tunaweza kuikomboa jamii hii yenye vipaji vya kila aina naomba tushirikiane
Latest Updates
Kasagula children care joined Envaya.
June 8, 2013
Sectors
Location
Dodoma, Tanzania
See nearby organizations