Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

KAWOA :

Kwa sasa tumepamba moto na kuelimisha wanawake wajue fursa zao kwani wanawake wanaozungukwa na mgodi wanathirika sana  hivyo watoto wa kike na wazee  tunawaelimisha juu ya ujasilia mali

 

FCS Narrative Report

Introduction

Kahama Women Alliance
KAWOA
Mafunzo ya kuimarisha uwezo ndani ya Asasi
FCS/RSG/2/11/311
Dates: Desemba 30, 2011 kipindi cha 1Quarter(s): 1
Edina Kalambo

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
Mradi unakidhi kwa kuwajengea uwezo watendaji na wanachama uwezo wa kusimamia miradi na fedha
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
ShinyangaKahamaNyasubiNyasubi15
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female15(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total15(No Response)

Project Outputs and Activities

1. Wanachama11 na watendaji 4 wamepatiwa mafunzo juu ya kusimamia miradi,
2. Viongozi 4 na wanachama 11 wamepatiwa mafunzo juu ya kuandaa mpango mkakati
3. Wanachama11 na watendaji 4 wamepatiwa mafunzo juu ya usimamizi wa fedha.
4. Mipango yote ya kutengeneza mpango mkakati imeshakamilika.
5. Timu ta ufuatiliaji na tathimini imeundwa na inafanya kazi yake
1. Kuendesha mafunzo ya siku 3 juu ya usimamizi wa miradi
2. Kuendesha Warsha ya siku 5 juu ya kuandaa mpango mkakati kwa washiriki 15
3. Kuendesha mafunzo ya siku 3 kwa wanachama 11 na watendaji 4 juu ya usimamizi wa fedha.
4. Kuandaa mpango mkakati wa asasi
5. Ufuatiliaji na Tathimini
-Mpaka sasa kunaongezeko la watendaji na wawachama wenye uwezo wa kupanga mpango mkakati yaani kutoka watendaji wa2 hadi sasa wote wa 4 na wanachama angalau 7 kati ya 11.
-Kuna midair miwili ambayo imeshabuniwa na kutumwa kwa wafadhili African Barrick Gold na UN-HABITAT (Youth Fund) na mingine bado inaandaliwa.
- Shughuli zote za uandaaji wa mpango mkakati zimekamilika na mpango mkakati upo katika hatua ya mwisho kabisa yaani mapitio ya mwisho (final review)
(No Response)
1. Kuendesha mafunzo ya siku 3 juu ya usimamizi wa miradi = TZS 1,317,154/=
2. Kuendesha Warsha ya siku 5 juu ya kuandaa mpango mkakati kwa washiriki 15= TZS 2,819,000/=

Project Outcomes and Impact

Kuongezeka kwa ufanisi na utendaji wa asasi katika maeneo ya mpango mkakati, usimamizi wa mradi, ifikapo march 2012
Mpaka sasa kunaongezeko la watendaji na wawachama wenye uwezo wa kupanga mpango mkakati yaani kutoka watendaji wa2 hadi sasa wote wa 4 na wanachama angalau 7 kati ya 11.
-Kuna miradi miwili ambayo imeshabuniwa na kutumwa kwa wafadhili African Barrick Gold na UN-HABITAT (Youth Fund) na mingine bado inaandaliwa.
- Shughuli zote za uandaaji wa mpango mkakati zimekamilika na mpango mkakati upo katika hatua ya mwisho kabisa yaani mapitio ya mwisho (final review)
Asasi imeongeza mitandao na kujitanua katika shughuli zake.
(No Response)

Lessons Learned

Explanation
Kufanya tafiti
Jinsi ya kuboresha mawasiliano katika asasi
Umuhimu wa kuwa na mifumo na miongozo ya usimamizi wa shughuli za asasi

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Mfumuko wa bei
Kukatika kwa mara kwa mara kwa umeme

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Serikali ya KijijiMtendaji wa kijiji alitusaidia katima mawasiliano na Mfadhili, pia alitufungulia na kufunga mafunzo

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Mrahi huu hauhusiki ni mradi wa miezi mitatu tu

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total00
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)0
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale15(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total15(No Response)
(No Response)

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya kusimamia RuzukuOktiba, 2011Jinsi ya kusimamia ruzuku ya The FoundationMaandalizi ya kusimamia mradi

Attachments

(No Response)