Envaya

FCS Narrative Report

Utangulizi

KAENGESA ENVIRONMENTAL CONSERVATION SOCIETY (KAESO)
KAESO
KUKUZA UELEWA NA USIMAMIZI SHIRIKISHI JAMII JUU YA SERA YA MISITU KWA JAMII
FCS/MG/2/09/219
Tarehe: JANUARI 2011 Kipindi cha Robo mwaka: MACHI 20
JOEL AMON
S.L.P 294
SUMBAWANGA

Maelezo ya Mradi

Sera
MRADI WETU UNASHUGHULIKIA SERA SHIRIKISHI JAMII YA MISITU ,KUONGEZA UELEWA KWA JAMII JUU YA SERA SHIRIKISHI YA MISITU YA MWAKA 1998.
MkoaWilayaKataVijijiIdadi ya Wanufaika
RukwaSUMBAWANGA MAMBWEKENYA MPANGA 48
MADIBILA
KIUNDINAMEMA
MAMBWEKENYA
SANDULULAMALOLWA
MPAPWA
MUMBA
SANDULULA
 Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wanawake4027000
Wanaume5330000
Jumla9357000

Shughuli na Matokeo ya Mradi

KUIMARIKA KWA KAMATI ZA MAZINGIRA ZA VIJIJI 20 KATIKA KATA ZA KAENGESA , SANDULULA, MAMBWEKENYA .
1. KUTAMBULISHA MRADI KWA VIONGOZI WA KATA / VIJIJI KAENGESA, SANDULULA, MAMBWEKENYA
2. MAFUNZO KWA VONGOZI WA VJIJI KATA TATU KAENGESA ,MAMBWEKENYA ,SANDULULA WASHIRIKI 45 KILA KATA KWA MUDA WA SIKU TATU
YANAYOHUSU SERA SHIRIKISHI YA MISITU YA MWAKA 1998 NA SHERIA NAMBA 14 YA MWAKA 2002
3. KUTENGENEZA VIPEPERUSHI 2000 VYENYE UJUMBE WA SERA SHIRIKISHI YA MISITU YA MWAKA 1998
4. MIKUTANO YA HADHARA KWA VIJIJI 4 KILA KATA ,KATIKA KATA YA SUNDULULA ,KAENGESA ,MAMBWEKENYA
5. MAFUNZO KWA KAMATI ZA MAZINGIRA ZA VIJIJI 4 VYA KATA YA KAENGESA ,MAMBWEKENYA ,SANDULULA ,JUMLA YA WASHIRIKI 45 KILA KATA YATAKAYOHUSU WAJIBU WA KAMATI KATIKA KULINDA NA KUHIFADHI MAZINGIRA KATIKA MAENEO YAO .
6. UFUATILIAJI NA TATHIMINI .
MAFUNZO YALIFANYIKA KWA KAMATI ZA MAZINGIRA KATIKA KATA YA MAMBWEKENYA ,SANDULULA ,WASHIRIKI 45 KILA KATA JANUARI MPAKA MACHI ,MAFUNZO YAMEFANYIKA KWA VIONGOZI WA VIJIJI KATIKA KATA ZA SANDULULA NA MAMBWEKENYA .
HAKUNA TOFAUTI .
1. SEMINA KWA VIONGOZI WA VIJIJI KATA YA SANDULULA 1,730.600/=
2. MAFUNZO KWA KAMATI ZA MAZINGIRA KATA YA SANDULULA 1,730,600/=
3. MAFUNZO KWA VIONGOZI KATA YA MAMBWEKENYA 1,790,000/=
4. MAFUNZO KWA KAMATI ZA MAZINGIRA KATA YA MAMBWEKENYA 1,790,000/=
5. SHUGHULI ZA UTAWALA 3,160,275
6. TATHIMINI 4,695,300/=
7. BALANCE BANK 52,630.86

Mafanikio au Matunda ya Mradi

KUIMARIKA KWA KAMTI ZA MAZINGIRA ZA VIJIJI 20 KATIKA KATA ZA KAENGESA , SANDULULA NA MAMBWEKENYA
KUONGEZEKA KWA UELEWA WA JAMII JUU YA SERA YA MISITU YA MWAKA 1998
KUPATA UELEWA WA SHERIA YA MISITU NAMBA 14 YA MWAKA 2002 ,
KAMATI ZA MAZINGIRA KUFANYA KAZI KWA KUJIAMINI NA KUJUA KUWA NI SEHEMU YA SERIKALI YA KIJIJI .
- KUSIMAMIA SHERIA YA MISITU NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA
- KISIMAMIA SHERIA NDOGO NDOGO ZA VIJIJI KUHUSU USIMAMIZI WA MISITU
- KULINDA NA KUSIMAMIA MISITU ILIYOPO KATIKA MAENEO YAO
ELIMU WALIOIPATA BAADA YA KUTOA MAFUNZO

Mambo Mliyojifunza

Maelezo
ELIMU KUHUSU SERA SHIRIKISHI HAIJAWAHI KUTOLEWA KWA JAMII
KAESO IMEUNGANISHA KAMATI ZA MAZINGIRA ZA VIJIJI NA MAAFISA MISITU WA HALMASHAURI YA WILAYA
KAMATI ZITOA MAPENDEKEZO YA ADHABU KWA WAHARIBIFU WA MISITU NA KUPELEKWA KWENYE VIKAO VYA KATA .

Changamoto

ChangamotoNamna mlivyokabiliana nazo
SERIKALI ZA VIJIJI KUTOTHAMINI KAMATI ZA MAZINGIRA ZA VIJIJI KAESO IMESHAURI KAMATI HIZO KUKUTANA MARA KWA MARA NAKUTOA TAARIFA KWA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZAO KWA SERIKALI ZA VIJIJI VYAO .
VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI KUTOJUA SERA YA MISITU NA SHERIA TULITOA ELIMU NAKUDURUFU SHERIA YA MISITU
WASHIRIKI KUHITAJI POSHO BADALA YA CHAKULA KAESO ILITOA MAELEZO KUWA MFUMO WA MFADHILI WETU KWA SASA NI KUTOA CHAKULA NA MAFUNZO TU.

Mahusiano

WadauNamna mlivyoshirikiana nayo
IDARA YA MISITU HALMASHAURI YA WILAYA KUTOA MADA NA UFAFANUZI WA SERA YA MISITU NA SHERIA ZAKE
RECOSO /RUSUDESO KWA KUWAPA HABARI JUU YA MRADI TUNAOTEKELEZA KATIKA KATA TATU ILI KUTORUDIA KAZI HIYO KATIKA KATA HIZO HIZO

Mipango ya Baadae

Shughuli ZilizopangwaMwezi wa 1Mwezi wa 2Mwezi wa 3
AWAMU HII ILIKUWA NI YA MWISHO KWA UTEKELEZAJI WA MRADI

Walengwa Waliofikiwa

    Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wajane na WaganeWanawake2856
Wanaume60120
Jumla88176
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWIWanawake2248
Wanaume1936
Jumla4184
WazeeWanawake2754
Wanaume1732
Jumla4486
Watoto YatimaWanawake--
Wanaume--
Jumla--
WatotoWanawake--
Wanaume--
Jumla--
Watu wenye UlemavuWanawake--
Wanaume--
Jumla--
VijanaWanawake--
Wanaume--
Jumla--
Watu wengineWanawake--
Wanaume--
Jumla--
(Hakuna jibu)

Matukio Mliyoyahudhuria

Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
MAFUNZO YA USIMAMIZI WA RUZUKU 06/10/ 2009USIMAMIZI WA MRADI UTEKELEZAJI WA MRADI
WARSHA YA KUPASHANA HABARI 2008RUZUKU ZINAZOTOLEWA NA FOUNDATION KWANZA KUFANYA MAOMBI YA MRADI

Viambatanisho

(Hakuna jibu)
« Iliyotangulia

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.