Kutokana na volunteer huyu watoto hawa wameweza kupelekwa maeneo mengi ya burudani na hata kusahau shida zao kwa muda na kujifunza mengi kutokana na mambo mengi waliyoyaona hata na mazingira pia. Tunatoa mwito kwa wengine wote watakaoguswa kama Sophia kuwapa watoto wetu furaha kwani ni kitu kikubwa sana katika maisha ya binadamu yeyote.
Maoni (1)