tukiwa na mngeni wetu kutoka mwanza akiwa katika ofisi ya mkulungezi akiwa mmoja wa watu watu wa kujitolea katika kituo cha hope. tuna shukulu sana kupata mngeni siku ya leo jumamosi bwana jemes alipata nafasi ya kuongea na watoto na kushare vitu mbalimbali kwa watoto zikiwemo nyimbo na michezo mbalimbali. tunawakalibisha sana kututembelea na kutupa matumaini katika huduma ya mtoto. tuwajali watoto kuwapatia elimu iliyo bora zaindi.
February 19, 2017