Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

watoto wakiwa  kwenye mudaharo siku ya jumamosi wakijalidili kuhusu maisha ya kielimu na maisha yasio na Elimu niikweli ilikuwa kazi ngumu maana watoto walikuwa wachangamufu walichuana maada ilikuwa nzuri yakuwajenga watoto kielimu. nizahili kuwa Elimu ni mwanga wa maisha kwa watoto. washindia waliopatika kwenye debate hii ni wasijana.

 

1 Februari, 2017
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (2)

Kwilo Malongo (Bukumbi ) alisema:
Hongera Sana wasichana na wakiwezeshwa wanaweza kwanza wajikubari wenyewe na wafanye maamuzi yaliyo sahihi
1 Februari, 2017
shija clement kinyata alisema:
Nikweli nasi tunasema tutakuwa msitari wa mbele kuhakikisha tunaendelea kupingania hazi za watoto.
1 Februari, 2017

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.