Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

TUNAOMBA KUPATA MTAALAMU WA KUJITOLEA AWEZE KUTUANDIKIA ANDIKO LA MRADI KUHUSU UHAMASISHAJI WA TOHARA KWA WANAUME. ANDIKO HILO LINATAKIWA KUWASILISHWA KWA MFADHILI KABLA YA TAREHE 31 AUGUST 2012. TAFADHALI SANA ALIYE TAYARI KUTUSAIDIA KWA HILI AWASILIANE NASI KUPITIA KWA:

Mkurugenzi Mtendaji

Hisia Cultural Troupe

Emai: hisiaone @yahoo.com

Cell: 0715 439740

TUPO katika mafunzo ya sanaa ya uigizaji na vita dhidi ya UKIMWI katika shule ya msingi Mlandege manispaa ya Iringa. Tumejitolea kuwafundisha bure watoto hawa ili kuwajengea uwezo wa hali ya juu wa kiuigizaji na kiakili.