Wazee mnakaribishwa kupeleka watoto wenu ili wapate elimu bora kwa wote
Please if you want to voluntere or to donate please contact us
Comments (0)
wazee wenye watoto wanakaribishwa kuwapeleka watoto wao katika skuli ya furaha.
Skuli ya furaha imeazisha program ya mafunzo ya computer kwa wanafunzi wa darasa la pili.
Please help Furaha children any thing you want to support like books, story books, test books pencils,chairs and tables ( desks).
We need your donation on Kindergarten learning materials and primary learning materials.
Welcome volunteer teachers for kids and teachers trainer; like English and computer course. We are at Kidjichi Zanzibar Tanzania. Karibuni nyote.