Kuhamasisha jamii kupima virusi vya ukimwi
Latest Updates
Esupati Group created a History page.
ARV ESUPATI GROUP ilianzishwa september 2007 ikiwa na wanachama 17 na hadi kufikia mwaka 2010 september kwa sasa ina wanachama 31 lengo la kuanzisha kikundi hiki ni kutoa huduma kwa jamii unaohusu vvu/ ukimwi tumekuwa tukitembelea watu mbalimbali kwenye kaya zao, kuwapa taarifa na kuwashirikisha juu ya umuhimu... Read more
January 13, 2011
Esupati Group created a Team page.
Mwenyekiti
mwenyekiti msaidizi
katibu
katibu msaidizi
mweka hazina
mweka hazina msaidizi
wajumbe wawili toka kwenye kamati
January 13, 2011
Esupati Group created a Projects page.
Kuhamasiha jamii kupima vvu / ukimwi
kuwahudumia wagonjwa wa majumbani
elimu juu ya matumizi sahihi ya Arv kwa wale walioanzishiwa dawa
Kilimo cha mbogamboga kinachohamishika
Ujasiriamali
kutoa elimu juu ya unyanyapaa kwa walioarithirika na virusi vya ukimwi
January 13, 2011

Esupati Group added 4 News updates.
Waelimishaji rika 20 wakiwa darasani wakipata mafunzo namna ya kuhamasisha jamii kupima virusi vya ukimwi. Picha namba 1,2,3,4 mafunzo haya yalikuwa yanatolewa na Shirika letu la ARV ESUPATI GROUP na mrandi ulifadhiliwa na shirika la Foundation for civil society, tunategemea kufanya shughuli hizi katika kata za Unga limited na... Read more
January 13, 2011
Esupati Group joined Envaya.
June 15, 2010
Sectors
Location
ungalimited, Arusha, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations