Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

1.kutoa elimu kuhusu usafi wa mazingira na matumizi sahihi ya vyoo.

2.kupanda miti kwenye vyanzo vya maji.

3.uvunaji majiĀ  ya mvua.

4.ujenzi wa vyoo rahisi kwenye nyanda kame kwa lengo la kurutubisha ardhi na kuweza kupanda miti kwenye maeneo hayo na ikamea vizuri mifano ya ya maeneo hayo mkoani Arusha ni KISONGO;OLDONYOSAMBU,LIKAMBA MONDULI.