Envaya

tunategemea kuanzisha vitalu vya miti vijiji ngarenanyukie na ngwandua na ilkurot mwaka2014.    vitalu vya miti tutakavyo anzisha  itakuwa na miti ambayo inafaa kuotesha kwenye vyanzo vya maji kwani vyanzo vingi vya maji vinaanzia mlima meru

7 Mei, 2013
« Iliyotangulia

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.