Envaya

Kusiamia maendeleo ya jamii masikini vijijini kwa kutumia rasilimali zinazopatikana huko.

Mabadiliko Mapya
The Developing Rural Community Initiative in Tanzania imeumba ukurasa wa Timu.
1 WOLFGANG T. J. MTENGA MR CHAIRMAN/BOARD CHAIRMN2 ABDULRASHEED M. SEKIANGO MR TREASURER ... Soma zaidi
29 Oktoba, 2011
The Developing Rural Community Initiative in Tanzania imeumba ukurasa wa Miradi.
KUWATAMBUA NA KUWAORODHESHA WATOTO YATIMA; – DRC-in Tanzania kuanzia tarehe 19/03/ -29/07/2011 tumefanya kazi ya kuwatambua na kuorodhesha watoto 20 walioko katika mazingira hatarishi katika vijiji vya kata ya mkuzi wilaya ya Muheza.tunatarajia kuwapatia msaada wa sare za Shule Pamoja na... Soma zaidi
9 Oktoba, 2011
The Developing Rural Community Initiative in Tanzania imejiunga na Envaya.
7 Agosti, 2011
Sekta
Sehemu
Muheza, Tanga, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu