Envaya

examination of rights and freedom of expresion of deaf people in Tanzania

CHRISTIAN NALIMI (IRINGA)
26 Nzeli, 2013 at 06:19 EAT

naitwa NALIMI CHRISTIAN NI MWANAFUNZI WA SHERIA MWAKA WA NNE KATIKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA RUAHA, MWAKA HUU NAFANYA UTAFITI WANGU KUHUSIANA NA HAKI NA UHURU WA KUJIELEZA WA WATU WENYE ULEMAVU WA KUSIKIA (VIZIWI) TANZANIA HIVYO NIMEONA WEWE UNAWEZA NISAIDIA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO

 

katika katiba kuna ibala ya 18(d) inatoa mwongozo kua kila mtu anayo haki ya kupata na kutoa taharifa.

1.je katiba imezingatia haki ya kutoa na kupata taharifa kwa watu wenye ulemavu wa kusikia (VIZIWi)?

2. kama ndio ni kwa kiwango gani? na kama sio ni kwa kiwango gani?

3.katika vyombo vya habari hususa ni Television (TV) je kuna namna yeyote (lugha za ishara) katika kutoa habari huwasaidia na wasio na uwezo wa kusikia (VIZIWi)?

4.je katika mikutano ya hadhara unawezaje kupata habari?

JE KITU GANI KIFANYIKE (MAONI )

nitashukuru sana kwa mchango wako kaka


Andika ubutumwa

Tumira abandi mu kiganiro