Envaya

COMMUNITY YOUTH FORUM

WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA

WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA

Vijana wa kata ya Kanyenye wakiwa katika Majadiliano juu ya Changamoto na Matamko ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana.

12 Septemba, 2011
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (2)

Eliapenda Mtei (Dsm) alisema:
Kwa kweli vijana tujitume kweye kazi, tuumize vichwa vyetu kubuni miradi mbalimbali ili tuweze kujikwamua kimaisha.
1 Februari, 2012
sylevester T.R.karigita (Kilwa masoko -Lindi ) alisema:
Licha ya kuwepo kwa sera ya Vijana kukosekana kwa mabaraza ya vijana katika Vijiji,Kata,Tarafa na Wilaya hadi mkoa kumewadumaza vijana kuweza kutoa maoni yao.
6 Aprili, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.