Envaya

COMMUNITY YOUTH FORUM

Tabora, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

To strengthen youth across the country as they promote sustainability, influence policy making, good governance, information sharing, to explore their talent and inter-cultural exchange.

Mabadiliko Mapya
COMMUNITY YOUTH FORUM imehariri ukurasa wa Historia.
Community Youth Forum (CYF) is a Non-Governmental Organization (NGO) registered under NGOs Act, 2002 made under section 12(2) of Act No. 24 with Reg. No OONGO/00003134 indicated area of operation is National, which directing to make the voice of youth to be used in the community, due to reality that... Soma zaidi
15 Novemba, 2011
COMMUNITY YOUTH FORUM imeongeza Habari 16.
Vijana wa kata ya Kanyenye, Tabora manispaa wakiwa kwenye Youth Forum, katika mradi wa WEZESHA SERA YA TAIFA YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA.
15 Novemba, 2011
COMMUNITY YOUTH FORUM imeongeza Habari.
WEZESHA Project
9 Oktoba, 2011
COMMUNITY YOUTH FORUM imeongeza Habari.
8 Oktoba, 2011
COMMUNITY YOUTH FORUM imeongeza Habari.
Vijana kutoka katika kata mbali mbali ndani ya Manispaa ya Tabora, wakijadili mada zinazowezeshwa na EWURA CCC/ WORLD BANK. Mijadala hiyo ni juu ya masuala ya Maji safi na taka, Nishati ya Mafuta, Gesi na Umeme. Soma zaidi
20 Septemba, 2011
COMMUNITY YOUTH FORUM imeongeza Habari 3.
Wajumbe wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) katika picha ya pamoja wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza - Dar es Salaam. Mkurugenzi wa CYF Bw. A. D. Pigangoma (aliyesimama mstari wa mbele wa 5 kutoka kushoto) Soma zaidi
16 Septemba, 2011
Sekta
Sehemu
Report
Success Story