Kuna elimu mbadala kuhusu utupaji taka,hivyo napendekeza kila kikundi wapewe kulingana na eneo husika kwa mfano kutenganisha kati ya taka ngumu nataka zinazooza,pia ukusanyaji waplastik,vigae,na hata mipira.Hii itasaidia kuweka mjisafi sambamba na kukuza kipato.
12 Nyakanga, 2011
ahmad (ZU) bavuzeko
ni bora zaidi mungelitoa elimu ya mazigira kwa serekali kwabdio inayohusika zaidi na uchafuzi wa mzingira
Ibitekerezo (2)