Envaya

   kwa kipindi chote hicho chuyodo ilikuwa na harakati za kuandika mradi kwa mara ya pili ikiwa ni miongoni mwa malengo yake kutokana na kutopata majibu ya mradi wa mwanzo ulioombwa na jumuia.

  chuyodo imefanya tathmini ya muda mfupi kuhusiana na watuimiaji wa maktaba katika kipindi cha mwaka mmoja tangu kaanzishwa kwa huduma hiyo na kupata jumla ya watumiaji 328 wakiwemo wanawaje na wanaume pai  rika tofauti na kuonyesha kuwa watumiaji wake wengi ni ni wanafunzi wa shule katika wilaya mzima wa mjini magharibi kuna asilimia 80 na aasilimia 20 kutoka wilaya nyengine tumeweza kuona matunda ya huduma hiyo na hadi hivi sasa tunaendelea vizura ijapokuwa tunakabiliwa na upotevu wa vitabu kwa watumiaji na eneo dogo la maktaba,pia tumo katika kutafuta wafadhili kwa kutununulia sehemu ili kukuza maktaba yetu

25 Julai, 2012
« Iliyotangulia

Maoni (1)

CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION (karakana _chumbuni zanzibar) alisema:
vijana tujitahidi kufanya kazi kwa kujitolea na kutoweka kipato zaidi
25 Julai, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.