Envaya
  •  Halmashauri za Wilaya ziweke bajeti kwa ajili ya mafunzo kwa watendaji Kata,Vijiji, na Halmashauri za Vijiji/Kamati za Vijiji
  •  Kuwepo na mafunzo ya mara kwa mara kwa watendaji na wenyekiti wa Vijiji/Vitongoji
  • Viongozi wa Vijiji/Vitongoji wawe na dhana yakujitolea katika kujifunza na utafutaji wa taarifa mbalimbali, kuliko hali ya sasa ya kutanguliza posho zaidi kuliko kujifunza.

 

HIZI NI MOJA YA MADA ZILIZOTUMIKA KATIKA WARSHA YA UTAWALA BORA ILIOENDESHWA NA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY FCS.

large.jpg

PICHA JUU: MRATIBU WA CHAMAKIVU DHAHABU JUMAA AKIWA KATIKA KIPINDI CHA REDIO HURUMA FM MKOANI TANGA AKIELEZEA KUHUSIANA NA MRADI WA UTAWALA BORA NA HAKI ZA KIRAIA UNAOENDEAHWA NA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA FCS.

large.jpg

PICHA JUU: MRATIBU WA CHAMAKIVU DHAHABU JUMAA AKIWA KATIKA KIPINDI CHA REDIO HURUMA FM MKOANI TANGA AKIELEZEA KUHUSIANA NA MRADI WA UTAWALA BORA NA HAKI ZA KIRAIA UNAOENDEAHWA NA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA FCS.

large.jpg

PICHA JUU MH DIWANI KATA YA VUGA AKICHANGIA MADA KATIKA MAFUNZO YA UTAWALA BORA YANAYO ENDESHWA NA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY FCS.

large.jpg

PICHA JUU MWEWEZESHAJI WA MRADI WA UTAWALA BORA ISRAEL ILUNDE AKITOA MADA KATIKA WARSHA ILIOFANYIKA VUGA NA KUSHIRIKISHA VIONGOZI NA WANAJAMII

large.jpg

PICHA JUU: WASHIRIKI WA WARSHA YA UTAWALA BORA ILIOFANYWA NA ASASIYA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY

large.jpg

PICHA JUU MH DIWANI KATA YA MPONDE AKICHANGIA MADA KATIKA MAFUNZO YA UTAWALA BORA YANAYO ENDESHWA NA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY FCS.