PICHA: VIONGOZI NA WANACHAMA WA CHAMAKIVU WAKIWA OFISINI, KATIKA OFISI YA CHAMAKIVU
PICHA:MRATIBU WA CHAMAKIVU DHAHABU JUMAA AKIWA NA MKAGUZI KUTOKA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY
PICH: KUSHOTO KATIBU WA ASASI YA CHAMAKIVU KUNDAEL MSOKELO AKIWA NA MWENYEKITI WA ASASI MUSA SHEMOKA
PICHA: MRATIBU WA ASASI YA CHAMAKIVU DHAHABU JUMAA AKITOA MAELEKEZO KWA WASHIRIKI WA WARSHA YA UTAWALA BORA
PICHA:-DORINA KHAMISI POYO, INSP Polisi Jamii Tarafa ya Soni akitoa ufafanuzi juu ya swali la sheria ya Kumpekuwa mtu lililojitokeza ndani ya mafunzo
PICHA: MRATIBU WA ASASI YA CHAMAKIVU JUMAA DHAHABU AKIWA OFISINI MARA BAADA YA MAFUNZO JIONI
PICHA: MSHIRIKI KUTOKA OFISI YA MAENDELEO YA JAMII LUSHOTO AKICHANGIA MADA KATIKA WARSHA YA UTAWALA BORA
PICHA:WASHIRIKI WA WARSHA WAKIWA MAPUNZIKO HUKU WAKIBADILISHANA MAWAZO KWA KILE WALICHOJIFUNZA