Mashirika ya Ubia
Facility for Ethics Accountability and Transparency
secretariat@ethic.go.tz · +255 22 2111810/11
Foundation for Civil Society
Global Giving Foundation (GGF)
International Prisoners Relief Organization
Tanzania Albino Society Kinondoni District
Tanzania Development Trust (TDT)
Mabadiliko Mapya
Tanzania Albino Society Kinondoni District imeongeza Habari.
YAH KUTOA SHUKRANI KUBWA KWA UONGOZI WA CHUO KIKU HURIA Ndugu zetu wa Tanzania sisi viogozi wa chama cha albino wilaya ya kinondoni tunapenda kutoa shukrani kubwa kwa mkuu wa chuo kikuu huria yeye pamoja na ungozi mzima wa chuo kwa kutoa ufadhili wa masomo ya cnmputer kwa viongo na wana chama wa chama cha albinn wilaya ya kinondoni na... Soma zaidi
6 Oktoba, 2012

8 Septemba, 2012
Tanzania Albino Society Kinondoni District imeongeza Habari.
JE ULEMAVU WA NGOZI NI NINI ?. Ulemavu wa ngoz ni hali isiyoambukiza inayotokana na vinasaba vya kurithi na hutokea dunia nzima. Wote Baba na Mama wanapaswa kuwa na vinasaba hivyo kwa mtoto kuzaliwa na hali hiyo. ulemavu wa ngozi ni matokeo ya ukosefu wa rangi kwenye nywele, ngozi na macho ambao vile vile unasababisha uoni hafifu na kudhurika... Soma zaidi
11 Agosti, 2012

Tanzania Albino Society Kinondoni District imeongeza Habari 2.
uongozi wa chama cha albino wilaya ya kinondoni unaomba msaada kwa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na albino achangie mchango wa hali na mali kwa ajili ya kuwezesha watoto albino wa wilaya ya kinondoni ambao wameshindwa kusomeshwa na wazazi wao ambao wengine hawana uwezo na wengine wamewatelekeza. kwahivyo chama kinaomba kisaidiwe... Soma zaidi
2 Agosti, 2012
Tanzania Albino Society Kinondoni District imeongeza Habari.
UONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO WILAYA YA KINONDONI UNATOA SALAM ZAPOLE KWA NDUGU ZETU. WATANZANIA WENZETU WALIOPOTEZA NDUGU ZAO KATIKA AJALI YA MELI NA KUMUOMBA MUNGU AWASAIDIE WALIOPO HOSPITALI WAWEZE KUPONA KWA HARAKA AMEN .
22 Julai, 2012
Tanzania Albino Society Kinondoni District imeongeza Habari.
UONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO WILAYA KINONDONI UNAOMBA SERIKALI IENDELEE KUKEMEA SWALA LA MAUAJI YA ALBINO YA NAYO ENDELEA KUTOKEA NCHINI TUNAWAMBA WABUNGE, MAWAZIRI, VIONGOZI WA WADINI NA TAASISI ZAKUTETEA HAKI ZA BINAADAMU.
11 Julai, 2012
Tanzania Albino Society Kinondoni District imeongeza Habari.
Ndugu Hussen wa envaya ametutembele kuona shughuli zetu
4 Julai, 2012

Tanzania Albino Society Kinondoni District imeongeza Habari.
MGAO WA MSAADA WA NGUO TULIFADHILIWA NA TCRS
3 Julai, 2012
Foundation for Civil Society imepokea jibu jipya kwa FCS Narrative Report.
25 Juni, 2012