Kuleta mahusiano yaliyo bora katika jamii kupitia utetezi na ushawishi kwa kuzingatia haki za msingi za binadamu kwa makundi maalumu kuhusu haki za akina mama, yatima na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi pamoja na ujasiliamali kwa jamii na utawala bora.
Mabadiliko Mapya
Community Active in Development Association (CADA) imejiunga na Envaya.
3 Machi, 2011
Sekta
Sehemu
mwanza, Mwanza, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu