Log in
Bright Light Organization

Bright Light Organization

Geita, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Mkurugenzi mtendaji (aliyesimama) na afisa mshauri aliyechuchumaa (katikati) ya wanafunzi baada ya kumalizika zoezi la kuwabaini watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.

large.jpg

Mkurugenzi mtendaji akiandika majina ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

large.jpg

Mkurugenzi mtendaji na Afisa mshauri wakiendelea na uandikaji wa majina ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.

large.jpg

Afisa mshauri wa asasi ya Bright Light akiwa katika zoezi la kuandika majina ya watoto yatima.

large.jpg

Afisa mshauri Kim Adiel (kulia) wa asasi ya Bright Light akielezea makundi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi yatakayosaidiwa.